Sisi ndio wauzaji na wasambazaji wa misumari ya kuezekea,mabati na vifaa vya ujenzi kwa wakandarasi na vile vile wauzaji wa jumla na wauzaji rejareja kwenye soko. bidhaa zetu za kuuza ni pamoja na, chapa za mabati, bati nyeupe na za rangi.